22.11.13

Monday, June 14, 2010

BI. JOSEPHINE MWAUJEDA AJICHUKULIA MCHUMA WAKE KUTOKA tiGO

Hili ndilo gari ambalo lilikuwa likitolewa jana pale Coco Beach na kampuni ya simu (tiGO) na lilikwenda kwa Josephine Mwaujeda.

Josephine akishuka kutoka jukwaa alipokwenda kupewa ufunguo wa gari lake

Ndugu jamaa na marafiki pamoja na familia ya Josephine ilikuwepo coco beach kumlaki Josephine kwa ushindi huo wa gari.

Hizi ni pikipiki ambazo nazo zilikuwa zikitolewa kwa washindi, kama unavyowaona kila mshindi alikalia pikipiki yake

Watangazaji wa show hiyo walikuwa ni hawa, majina yao sikuweza kupata kwa mda huo

No comments: