22.11.13

Thursday, June 24, 2010

MAUZO YOTE YA ALBUM YANGU YATAENDA KWA WATOTO YATIMA.

Jana wakati nipo safarini nilipata msg kutoka kwa Ney wa Mitego inayosema hivi.
"Naingiza album sokoni na kesho itakua mtaani, but mauzo yote ya album yanaenda kwa watoto yatima, mi sichukui hata shilingi ya mauzo ya album wao ndo watakua wana sign copy zitakozokua zinauzwa. Ni hayo 2 broda. True boy!"
Mdau kuna lolote unalotaka kusena, hebu nione comments zako

9 comments:

Anonymous said...

Kazi nzuri kijana wetu utapata zaidi siku moja. Ubarikiwe

Anonymous said...

God bless you.....

Ima (The Desinger) said...

Imetulia hiyo, Good Job Ney.

Unknown said...

da! bab kubwa gud boy, that is wat we want our wasanii kudo sometimes,so big up

Anonymous said...

kaka hyo imetulia sana,wengine wakisikia naona wataiga mfano,big up sana

Anonymous said...

iyo imekaa vyema na ni mfano mzuri kwa wasanii wengine nao pia kufanya kama hivyo,

Anonymous said...

Hii safi sana itasaidia sana wananchi wengi ambao ndio masikini.

Anonymous said...

PAH MORE JAH DAWG NEY MUNGU AKUZIDISHIE SABA MARA SABINI SABINI MARA MIA SABA KWA KUTAMBUA UMUHIMU WA MAYATIMA NAOMBA MUNGU ATUKUTANISHE PAMOJA SIKU MOJA TUWEZE KUBADILISHANA MAWAZO MTU WANGU UMEFANYA JAMBO LA KISHUJAA SAN MTU WANGU B BLESS MA HOME BOY@ NEY WA MITEGO

Anonymous said...

one in million can do that,mungu ndio atakaye kulipa kwakuwa ulichokifanya ni kikubwa hakuna anayeweza kukulipa zaidi ya mola,itafahmika!!