22.11.13

Monday, June 21, 2010

MIDA HII NAPIGA ENTERVIEW HAPA PALM BEACH.

Camera man Kabezi kutoka Clouds TV wakichukua tukio hapa katika kipindi kipya ambacho kitaonyeshwa Clouds TV hivi punde. Jina la kipindi nimeambiwa ni mapema sana kukitaja hadi pale kitakapo zinduliwa.

Tukiwa kwenye location na presenter wa kipindi hicho Casto, nakuwa kawaida sana napokwenda kwenye enterview hata vaa yangu inakuwa ni ile ile.

Wakati napiga enterview sehemu hii ya Palm Beach kuna vijana walikuwa wamepumzika kwa sababu Jua la leo usilipimie kabisaaa

1 comment:

Anonymous said...

vaa kawaida ama ndio umevunja kabati hapo?