Mnyange wa Miss Tanga 2010 Anna Kiwambo akiwa katika uso wa furaha punde tu baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika mchakato huo uliofanyika katika hoteli ya Tanga Beach Resort iliyopo Sahare, Miss Tanga 2010 imeandaliwa na 5 Brothers Entertainment.
Anna Kiwambo akiwa na washindi wengine, mshindi wa pili alikuwa ni Jari Mure, wa tatu ni Zuleha Mrisho. Nafasi ya nne alichukua Asia Gumbo na nafasi ya tano alinyakua Grace Joseph.
Mrembo aliyekuwa anamaliza muda wake Glory Chuwa ambaye ni Miss Tanga 2009 akiwa katika tabasamu nono.
Katika hali iliyofanya mashabiki wengi wainuke kwenye viti vyao na kushangilia, ni pale Aziza Khalifa ambaye pia ni Miss Pangani 2010 alipotangazwa kuwa mnyange wa Miss Talent Tanga 2010. Miss Pangani 2010 iliandaliwa na Anko Mo Blogspot.
Chifu jaji Musa Kisoki alikuwa na kazi ngumu ya kutangaza mshindi.
Kisoki ni mkurugenzi wa kampuni ya Sofia Production
Picha zaidi tembelea http://www.ankomo.blogspot.com
Kisoki ni mkurugenzi wa kampuni ya Sofia Production
Picha zaidi tembelea http://www.ankomo.blogspot.com
1 comment:
video hiyo na track imesimama bt tundaman anaimba kama mlingoti bwana hatikisiki? . hachezi? . ameharibu ingawa ameimba freshi ila mganga amewaficha wooote . . . big up
Post a Comment