Mkuu wa kivuko cha mto Kilombero
Mkuu wa wilaya MHE. ENG. EVARIST NDIKILO akitaja vivutio vya kitallii vinavyopatikana wilaya ya Kilombero
Mkuu wa Wilaya MHE. ENG. EVARIST NDIKILO akiwaaga washindi na waratibu tayari kwa kujiunga na kambi ya mkoa
Shakira Hassan mshindi wa tatu akiwa katika maeneo ya taasisi ya Utafiti wa Afya Ifakara - IHI
Shakira Hassan na Cecilia Kapufi wakiwa katika moja ya maeneo ya mto Kilomnbero
Shakira Hassan na Hamad Lijengapa wakishiriki michezo katika kituo cha kulea watoto wenye utindio wa ubongo
Waratibu wa Miss. Kilombero na washindi wakisubiri kuanza ziara ya mafunzo Hospitali ya Mt. Francis Ifakara
Washidi na Waratibu wa Miss. kilombero wakipata maelekezo kuhusu ufugaji wa mbu kama sehemu ya Utafiti
Washindi na waratibu wa Miss. Kilombero walipotembelea ofisi ya Mkuu wa kivuko cha mto Kilombero
Washindi wa Miss. Kilombero wakiwa katika moja ya maeneo ya kituo cha Utafiti wa Afya Ifakara - IHI
No comments:
Post a Comment