22.11.13

Thursday, June 03, 2010

ZIARA YA MISS KILOMBERO.

Cecilia Kapufi Miss. Kilombero akiwa katika moja ya maeneo ya Tasisi ya Utafiti wa Afya Ifakara - IHI

Cecilia Kapufi na Flora Florence walipotembelea kituo cha radio 90.7 Pambazuko FM

Cecilia Kapufi akimshukuru mkuu wa wilaya ya Kilombero kwa kufika kwake kuwaaga kabla ya kambi ya mkoa

Cecilia Kapufi na Nyachilo Zarumbe walipofanya ziara ya mafunzo kivuko cha mto Kilombero(2)

Cecilia Kapufi, Florah Florence na Paschal Kulita Mratibu wa Miss. Morogoro walipotembelea 90.7 Pambazuko F

Cecilia Kapufi, Flora Florence, Irene Joseph na Nyachilo Zarumbe walipotembelea Hospital ya Mt. Francis Ifa

Floara Florence mshindi wa pili akiwa katika moja ya maeneo ya Taasisi ya Utafiti wa Afya Ifakara - IHI

Flora Florence akiongoza wenzake kushuka katika kivuko cha mto Kilombero

Flora Florence akishiriki michezo katika kituo cha kulea watoto wenye utindio wa ubongo - BETHLEHEM CENTER

Florah Florence alipotembelea maabara ya Tasisi ya Utafiti wa Afya - Ifakara,wengine ni Dr. Edith na Faraj

Florah Florence Miss. Kilombero (2) akiwa katika kambi ya mkoa wa Morogoro

Fred Oketch wa Tasisi ya utafiti wa Afya akitoa maelekezo kuhusu mbu anavyoweza kaumbukiza Malaria

Irene Joseph akishiriki michezo katika kituo cha kulea watoto wenye utindio wa ubongo - BETHLEHEM CENTER

Kulia ni Mkurugenzia wa TZ. Training Center For International Health Dr. Pemba akiwa na washindi wa Miss. K

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Ifakara Ndg. Honorathy Urasa akitoa historia fupi ya Taasisi

No comments: