22.11.13

Saturday, June 26, 2010

SAFARI YETU INAENDELEA NA SASA NI BUKOBA.

Safari yetu ilianza saa 12 asubuhi kuelekea Bukoba na tutakuwa na show mbili, leo tarehe 26 na kesho mchana.

Fredwaa na DJ Choka

Tulifika sehemu watu wakapumzika kidogo

Baada ya masaa 4 kukaa barabarani hatimaye tukaiona Bukoba ileeeee ikiwa inapendeza kwa migomba kila sehemu

Hii ni hotel tuliyofikia, ipo karibia na ziwa Victori kabisa, sasa ilo baridi lake sasa usilipimieee

Vijana wakiwa wamekula pozi wakila upepo mzuri unaotokea ziwa Victoria.

5 comments:

Anonymous said...

Babu Ni Mkoa Wa Kagera..so Mkoa wa Bukoba

Anonymous said...

e bwana choka kuna nyimbo ya sugu inaitwa anti virus utakuwa unaijua tu lazima naomba uiweke tuisikilize tafadhali,na usituletee mambo ya watoto wa magorofani kuwabania machizi.

Anonymous said...

Hakuna mkoa wa Bukoba, ni Kagera.

Anonymous said...

wanavuta bangi

Anonymous said...

thanks dj choka kwa kutuonyesha nyumbani.