22.11.13

Saturday, June 26, 2010

TUKAPATA NAFASI YA KUINGIA KWENYE RADIO.

Hapa ni kituo cha radio ambacho kimepewa jina la KASIBANTE 88.5 FM. Tulipofika Bukoba tukaingia katika radio hii na wasanii wakafanyiwa mahojiano kuhusiana na show hii ya leo.

Ndani ya kituo hiki cha radio

Wasanii Temba, Chege na Joh Makini wakisubiri enterview

Mtangazaji akaanza na Master Jay kutoka MJ Rec, hapa alikuwa anaongelea nia na madhumuni ya tour hii. Master Jay ameamua kila mkoa tunaopita ataangalia vipaji vizuri na mmoja wao atarekodiwa wimbo wake bure kutoka MJ Rec

Joh Makini

Chege

Mh. Temba

Quick Rocker

No comments: