22.11.13

Wednesday, June 23, 2010

SAFARI YETU INAENDELEA NA TUNAINGIA DODOMA.

Hapa tulisimama kwenda kuchimba dawa na dereva wetu Mr. Paul anaingia kwenye gari tayari kwa safari ya kuisaka Dodoma.

Mtu mzima Master Jay akiwa ametulia huku akitafakari umbali tunaokwenda, nahisi tutalala Singida maana daaah.

Basi safari inapokuwa ndefu vimiminika navyo havikosekani, halafu vinywaji hivi havileti matatizo ya kwenda kuchimba chimba dawa mara kwa mara.

Morogoro round about mchana huu.

Maeneo ya Gairo watu wakiendelea na shughuli zao.

Gairo mchana huu.

2 comments:

Anonymous said...

kaka, unajua kuhadithia kinoma....ongezea ujuzi nenda kapige journalism.....big up mazeee!

Unknown said...

na mimi siku nyingine msiniacha kaka