22.11.13

Wednesday, June 23, 2010

MJ REC TOUR 2010.

Mida hii tukiwa kwenye basi tumeianza safari na sasa tumeipita Chalinze. Safari hii inaelekea GEITA na hapo tutafanya show siku ya tarehe 25 mwezi huu, baada ya hapo tutaelekea BUKOBA tarehe 26 na 27, mjini KAHAMA itakuwa tarehe 2 mwezi wa 7 na tutamalizia TABORA tarehe 3 na tarehe 4.

Kwenye gari tunaongozwa na Master Jay pamoja na Marco Chali, nikiwa kama dj wa tour hii tumeongozana na wasanii kutoka MJ Rec yupo Quick Rocker, Izzo B, wasanii wengine ni pamoja Joh Makini na Bonta, Wasanii kutoka TMK Chege na Temba wako Mbeya tutakutana nao siku ya show.

No comments: