Mtu mzima KR kutoka TMK Wanaume wiki ijayo anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la MAPEMA.
KR ameniambia hivyo jana tulipokutana pale Coco Beach kwenye tamasha la tiGO, amesema wimbo huo ameufanyia pale Fishcrab chini ya Producer Lamar na katika wimbo huo amemshirikisha msanii kutoka Tip Top anajulikana kwa jina la Cassim Mganga.

1 comment:
KR Mula mzee wa mziki Cd 700, twasubili hilo pini maana huwa ubaatishi.
Post a Comment