22.11.13

Monday, June 14, 2010

SHANGWE ZA VUVUZELA BADO ZINAENDELEA.

Bongo Star Link yawaburudisha wanafunzi wakibongo waishio South Africa.

Anaitwa Zamaradi Nzowa, Da Daughter of the senior journalist chief Editor LATE HAMIDY NZOWA from Mfanyakazi Newspaper in 1990's, am the journalist and Graphic designer ila kwasasa nasomia Film making and television Production at City Varsity Media&Arts, Johannesburg.

Zamaradi Nzowa hapa akiwa South Africa anasema hapa Ilikua ni Vuvuzela day tarehe 9th wed tulikua tunafunga roads on street, iyooo siku nilikua nimetoka kwny paper la Camera n lighting Blaamfontein town


No comments: