22.11.13

Monday, June 14, 2010

SHOW YA CHEGE & MH. TEMBA YALETA GUMZO COCO BEACH.

Chege akiwa ameshikilia MIC tayari kwa kukamua ipasavyo, kabla ya Chege na Temba alikuwa msanii mwingine Dully Sykes na alikamua ipasavyo kama mnavyojua mziki wa Dully akiwa kwa steji.

Mtamboni nilikuwa mwenyewe kwa hiyo hakuna kilichoharibika, baadae nitawawekea clip ya show hii ya Chege na Temba.

Wakazi wa Dar es salaam alimiminika mpaka basi na walishuhudia kila kitu kikiendelea pale Coco Beach

No comments: