22.11.13

Monday, June 28, 2010

TIP TOP CONNECTION YABISHA HODI IRINGA.

Show inafanyika Iringa uwanja wa Samola tarehe 4 siku ya jumapili.
Kiingilio wakubwa elfu tatu wadogo elfu mbili, itaanza saa nne asubui mpaka moja jioni

Show inaitwa Bado Tunapanda ni ngoma ya kuitamburisha Tiptop kwa wananchi kua wamerudi na kuonyesha uwezo na kutoa mawazo ya tiptop aipo au imekufa kwa ajili ya watuwachache walio jitoa.
show itacndikizwa na Offside Trick, Barnaba, Lina pamoja na Babu Ayubu

Wakati Watakao piga show kutoka Tip Top ni Madee, Cassim, Tunda Man, Desso na K.sher.

No comments: