22.11.13

Tuesday, June 29, 2010

JE HAPA KUNAULINZI KWELI...?

Wakati napita pita zangu jana jioni hapa Bukoba nilishuhudia wafungwa wakiwa wametoka kununua bidhaa huku nyuma yao wakilindwa na askari magereza mmoja tu.
Hivi hapa hawawezi kutoka nduki kweli jamani..?

2 comments:

Anonymous said...

hao wanotoka nje ni wale wamebakiza siku chache sana kukaa gerezani, huwa wanakua na nidhamu ili wasivuruge

Anonymous said...

Hao wanakuwa wamebakisha MWezi au Week tu pengine alishakaa sana ndani Miaka 5 akikimbia atajiaribia tu.