22.11.13

Wednesday, June 23, 2010

TULIPITIA SEHEMU YA NYAMA CHOMA KIDOGO

Izzo B na Joh Makini wakikagua nyama nzuri itakayowafurahisha na kuifanya safari yao kuwa muruwaaaa

Jiko kama unavyoliona

Wengine walikuwa wanabadilishana mawazo kuanzia kushoto ni mdogo wa Marco Chali, Quick Rocker na Marco mwenyewe

Izzo B na Joh Makin wakiangalia nyama inavyokatwa katwa, hii ni maini ya Mbuzi bwana

No comments: