22.11.13

Tuesday, June 01, 2010

WASANII MNAKARIBISHWA KUJA KUSHOOT KWENYE PUB YANGU.

Ben Kinyaiya anawakaribisha wasanii wote na watu wengine kutembelea Pub yake iliyopo nyuma ya Mango Garden Kinondoni. Kwa wale wasanii wanaopenda ma graffiti sehemu hii utachakugua mpaka uchoke.

Kama hili utakutananalo kwa nje limetulia tuliiiiiiiii....

Kuna kaunta ya nje na ya ndani, hii ni kaunta ya ndani ikiwa inamaliziwa maliziwa. Huku VIP unakula kipupwe safiiiiiii huku ukicheki tv yako iliyounganishwa na Dstv.

KARIBUNI NYOTE.

3 comments:

Anonymous said...

Graffiti should be outside not inside! Ben that is too ghetto!

Anonymous said...

yah uchafu mtupu, au ni zile pounds alizomtapeli demu wa uk ndio zinakutia ukichaa wa kuchafua kuta

Anonymous said...

nasikia kizunguzungu nikiangalia huo ukuta for more than 2 mins..imagine nikilewa..no.