Wasanii wa Kenya walifanya tafrija yakumkumbuka msanii wao kipenzi
E-Sir katika ukumbi wa
Danpark uliopo Nairobi. Hapa mbele ni
Nonini na mwanadada
Caroline MwaraMr. Lenny, Caroline na Nameless
Wasanii wa Kenya wakitoa machache yao kwa nyimbo.
Hapa ni kabla ya show kuanza, walikutana na kubadilishana mawazo.
Picha kwa hisani ya
Caroline Mwara:
No comments:
Post a Comment