22.11.13

Saturday, July 10, 2010

Ghetto Diva wa FRILODAZ.

"what it do what it doez" ndo salam anayopendelea mwanadada huyu msanii akimaanisha ki2 kama "niaje ni vipiii",na "Ghettodiva" akiwa lady rappa toka crew la frilodaz anapata challenge sana anapokuwa analazmika kubalance masomo yake ya elim ya juu na wakati huo huo kusmamia project zake za kimuziki..."napata muda mchache sana tofauti na zamani kufatilia music sana sana kwenye kurecord ila bado naendelea kuchora mashairi kibao ilntapopata nafasi nizame studioni na kufanya mambo kimpango mzima",Ghetto diva anatarajia ku release ngoma iitwayo "uzushi" aliorecord noizmekah humo ndani Manbatoo akikamatia visawaz verse ya pili aloshirikishwa.track hiyo ya miondoko ya kwaito itatoka mwezi wa saba katikati katika clubs na radio...

2 comments:

Anonymous said...

Kip t up diva, we hav ur bk, kip on representing arachuga!

Anonymous said...

Unasuport yetu yote mwanadada, tunataka wasanii wasomi sio wanaobabaisha, ni vyema ukiiga mfano kutoka kwa kaka zako wachache kama mwana F.A na Pwaa, 2nakukubali atwn!