22.11.13

Monday, July 19, 2010

HABARI DJ CHOKA THE ONE AND ONLY!!!

KAKA KAZI YAKO INATUMIA AKILI NYINGI SANA ILI KUWEZA KUWAKAMATA
WAPENZI WA MUZIKI UWAPO MITAMBONI CHA KUFURAHISHA ZAIDI MARA NYINGI
NAPOTEMBELEA BLOG YAKO HUWA NAOA WEWE SIO MTU WA KUCHEZA NA AFYA YAKO
BAADA YA KAZI UNAKAMATA MENU ZA UHAKIKA AS YOUNG DYNAMIC TALENTED
YOUNG TANZANIAN CHEF KAKA NIWEKEE KATIKA BLOG YAKO WATU WAPITIE ILI
WAJIFUNZE MENU ZILIZOKWENDA SHULE www.activechef.blogspot.com
PIA
POKEA PICHA HIZI ZA CHAKULA KAMA UTAMBULISHO. SOON NITATOA RATIBA YA
CHAKULA KWA WATU WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NA VITAMBI BAADA YA
MAFANIKIO YA MENU YA CHAKULA CHA WATOTO KWA WIKI NZIMA.


NAKUTAKIA SIKU NJEMA NA WAPENZI WOTE WA BLOG YAKO

THANKS AND REGARDS

CHEF ISSA

2 comments:

Anonymous said...

kaka choka hii imekaa sana tu mzee!! duh hilo lifish ni la mchemsho au kupikwa kudadadeki nomaaaaaaaaaaaa!!!

JXP

Anonymous said...

Blog hii naiju kweli kijana yuko juu na tunajivunia kijana mdogo kama huyo mtanzania kuwa na maujuzi ya kufa mtu inapendeza sana na sio siri kapiga bao la uhakika mungu akulinde endeleza gurudumu la fani yako hasa sisi kunamama umetusaidia sana kubadilisha menu za majumbani kwetu weraaaaaaa weraaaaaaaaa!!! chef wetu!