22.11.13

Wednesday, July 14, 2010

KUTOKA LA FAMILIA ILALA.

Bongo Star Link ilizungumza na mtu mzima Chidi Beenz na kutuambia juu ya album yake mpya iko tayari kwa Mamu anachokisubiri ni tamko rasmi la Mamu amwambie ni tarehe gani rasmi itakuwa mtaani. Pia Chidi ameshoot wimbo wake mpya unaoitwa SO FRESH SO CLEAN chini ya kampuni ya Visul Lab Next Level so soon itakuwa kwa luninga.

Na msanii pekee wa kike kutoka katika kundi hilo Chiku K anatarajia kuachia ngoma yake mpya ambayo itakuwa inakwenda kwa jina la MCHAKA MCHAKA.

No comments: