22.11.13

Thursday, July 01, 2010

LAMAR HIVI UNAIJUA HII STUDIO.

Jana wakati tuko kwenye PA nilipita sehemu moja na kukutana na studio moja inayoitwa Fish Crab, ilibidi nisimamishe gari na kwenda kuangalia yanayoendelea ndani. Chaajabu watu walinikimbia bwana...sasa sijui jina hili na lile analolitumia Lamar pale Kariakoo yanamahusiano au.

1 comment:

Anonymous said...

vaja kontrollida:)