Hawa ni moja watoto waishio Biharamulo na nilishangaa waliponiita dj choka, moyo wangu ulijaa na furaha sana
Hivi likizo kama hii watoto wanatakiwa wafanye nini katika familia yao
Ndugu zangu mnaweza msiamini lakini ndivyo ilivyo.
Hawa watoto mnaowaona wote ni kutoka familia moja ya baba na mama, wakwanza kuzaliwa ni huyo hapo nyama. Watoto hawa wanaishi kijijini Chato.
1 comment:
kaka choka..hapa bufungile mdau wako mkubwa..lakin choka...hii haiwezekani mzazi hawa watoto wa familia moja mkuuu..watoto 13? then ufupi wamepishana kidogo kidogo hivyo?
Post a Comment