22.11.13

Thursday, July 15, 2010

MIMI SIMJUI HUYU DIVA NAONA ANANIONGELEA SANA.

Mda mfupi uliopita Mr. Blue alinicheki kwenye simu na kuniambia mbona anaona habari kwenye gazeti zinazosema eti yeye anamsumbua Loveness Love "DIVA" mtangazaji kutoka Clouds FM kwenye kipindi cha Ala za Roho. Wakati hata ajawai kuongea nae na wala hawajawai kusalimiana,
Blue anasema hapo mwanzo alikuwa anamsikia tu Diva kwenye kipindi chake akisema eti yeye anaringa akimwita studio Blue anamletea mapozi.
Nilipomuuliza kwani hilo gazeti limesemaje Blue akaniambia linasema kwamba kuna Mr. Blue anamsumbua sumbua Diva sasa mimi nikastuka na nikaona na mimi niwaambie mashabiki zangu kwamba
MIMI SIMJUI HUYO DIVA NAMSIKIA TU NA WALA HATUJAWAI KUKUTANA USO KWA USO TUKAONGELESHANA NI VIPI NIMSUMBUE JAMANI.

12 comments:

Anonymous said...

hayawi hayawi yamekuwa,huyo mtoto ana tabia ya kuganda wanaume sijui love disease?halafu kwa kuzushia mtu hajambo choka,akigongwa anataka aweke kambi,eti madai yake germini hahahaha..............yangu macho labda aende kwa babu au kanisani achague moja,na wewe choka weka hii post maana akishaona unatoa maoni anaanza kujipendekeza just do ur thing choka tupe burudani safiii hiyo kazi kwake.

Anonymous said...

demu ana shobo sana,mashauzi over bilaila.nyodo sana ana act uzungu sana after all watu wote wanamwona kituko. MR.BLUE achana naye anatafuta umaarufu

Anonymous said...

Choka wengine huyo dem hatumfaham kama vipi tuwekee hata picha yake coz tunasikia yeye ndio anatakwa kila siku

Anonymous said...

ana frastresheni ya kuachwa na moracka,anatafuta pa kupumzikia. blue mpe mpe huyo dada anatia aibu, hata ukitembelea kijiwe chake utmjua tu mambo yake tru her writings.

Anonymous said...

yeah diva anapozi but blue muongo kwamba hajiwahi kuonana na diva wakati hadi interview ameshawahi kufanyiwa kwenye alah za roho na huyo huyo loveness......mmmm mi sijui mkweli nani bwana...

Anonymous said...

mmh hii nayo kali lol!bibiye fanya ujichunguze kasoro yako na ujirekebishe haraka sana mpenz maana utaangukia pabaya

Anonymous said...

grow up diva,ww sio mkali kiivyo, yaani ni wa kawaida sana, stop acting, be real...unaboa kichizi, afu acha kushobokea watu maarufu,....

Anonymous said...

Diva mi nakuzimia sana,kama vipi choka tuunnganishe na diva..
my email
kilonzomtz@hotmail.com

choka fanya kweli

Anonymous said...

MMMMMMMMMMMMMH GUYS MSAMEEEENI

Anonymous said...

wote hao wanatafuta umaarufu tu

Anonymous said...

choka,nakukubali ila nauliza hv huwa mnawashauri hawa wasanii wetu au? maana mpaka aibu sasa,wanavyovaa,tembea au video zao muda mwengine zinaboa hususan hawa wapya waimba bongofleva.then naomba muwashauri wawe wanakutana waunde hata chama cha kuweza kufuatilia maslahi yao WANAIBIWA NA KUTAJIRISHA WATU BILA KUJUA.NAMKUBALI SANA KALAPINA NA KIKOSI KWA UJUMLA WALISHAJUA TANGU ZAMANI KUWA WANAIBIWA,BUT WALIONEKANA WAHUNI NA WAJINGA MAADA YA MUDA KUPITA LEO NDIO WANAIBUKA ANTVIRUS.muziki unaweza kubadilisha maisha yao wakiamua. HIP HOP IDUMU NA UMOJA NI NGUVU

Unknown said...

anaboa