22.11.13

Monday, July 19, 2010

MWIMJUMA ABDULAZIZ ACHUKUWA FOMU YA UDIWANI TAWI LA KIJITONYAMA.

Mh mgombea Udiwani mtarajiwa Mwimjuma Abdulaziz akitoka kwenye gari yake ya nguvu akielekea ofisi za chama cha CCM tawi la Kijitonyama.

Mtu mzima akiwa amesindikizwa na baadhi ya vijana wenzake ili kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa bila kokoro

Mwimjuma Abdulaziz akidondoka sign katika fomu yake.

Mwimjuma akikabidhiwa fomu yake

Mwenyekiti wa Kijitonyama Mayunga akipa mkono wa pongezi na kumtakia safari njema atakayoianza katika uchaguzi wake wa udiwani.

Kila la heri kaka yangu katika safari yako bwana, mimi niko na wewe hadi kuhakikisha tunaunyakuwa ushindi. Vijana wa Kijitonyama ni wakati wetu sasa wa kumchagua ndugu yetu Mwimjuma Abdulazizi.

4 comments:

Anonymous said...

Dogo Choka acha kujifedhehesha na kujidhalilisha kwa watu eti mheshimiwa kwa uheshimiwa gani aliokuwa nao hata huo udiwani hajapata ? na eti akitoka kwenye usafiri wake wa nguvu (gari),acha vituko dogo na hao wanaoendesha Ferrari, Messarati, Porsche utasema wanaendesha nini. dogo japokuwa huna kitu lakini kutokuwa na kitu kwako usijidhalilishe kwa waliokuwa nacho ukawa as- licker. ni ushauri wa bure tu kama mkubwa kwako.
mdau UK.

Anonymous said...

mh comment hiyo!
kufagilia ipo bana,weka lako hilo porsche uandikwe!
piga box huko tu acha maneno wewe mdau

Anonymous said...

huo ndo typical ubongo...huwa tunaanza kukanda kwanza kabla hatujatoa pongezi...ungemuona mtoto wa mkubwa flan hapo ungetoa hongera ya nguvu...sasa wewe umekasirika nini hapo, abdulazizi kugombea udiwani au kumwona kwenye hilo gari? haihuuuu! atleast he is doing something nchini kwake, kweli piga box kama unaweza ligi rudi bongo uonyeshwe kazi.., eti mdau UK..kwa kwa kwa, mbona hamuandiki mdau KWIMBA?

Anonymous said...

Nadhani mdau wa UK dhana ya comment yake ni Dj choka kumuita Ndugu Abdul-Aziz mheshimiwa wakati huo udiwani kuupata bado hata hajaupata. pia nadhani tungejua nini maana ya Mheshimiwa kabla ya kumshambulia mdau. halafu nadhani wadau wote hapo juu mnaomkandia mdau wa Uk ni mademu na Abdul-Aziz ni mtu wa totoz hahahaha so lazima mtakua upande wake . na inaonyesha kuwa mdau UK hana ubaya na Abdul-Aziz bali na Dj choka jinsi anavyoshobokea watu.