22.11.13

Tuesday, July 20, 2010

SOMETHING SPECIAL IS COMING.

Mnara huu ambao upo maeneo ya Morocco unahashiria kitu fulani kinakuja baada ya siku 4, mimi na wewe hatujui ni kitu gani ngoja tusubiri tuone.

6 comments:

Anonymous said...

i think it's a big M which means Mc Donald

Anonymous said...

CCm tu hamna jipya.

Anonymous said...

Ni picha ya Kikwete na sisiemu kuomba kuchaguliwa tena.

Anonymous said...

Ni sanamuya dokta galib bilal mgombea mwenza wa sisiem

TS. Mruma said...

kiukweli ccm bado ipo juu zaid yao ila mh no comment... dj choka am you member tangu kitambo na ulinifanya na mimi nianze kutaka kua na blog yangu na sasa ninayo coz of you nipromo mkubwa kama unafikiri itakua poa my blog is stevenmruma.blogspot.com am from tanga city...

sheddy said...

hiyo ni pich ya mgombea SHYROSE BHANJI. anagombea ubunge kinooooo