22.11.13

Saturday, July 31, 2010

NASHOOT LEO VIDEO YANGU MPYA.

Kijana anayetambulika kwa jina la Dau Racka leo majira ya saa 1 jioni jamaa atakuwa anashoot video yake mpya na kampuni inayokwenda kwa jina la Kallage's Picture.
Akizungumza na Bongo Star Link Dau Racka amesema wimbo anaoufanyia video unaitwa WE BACK na ndani ya wimbo huo yupo na mwenzake Quick Rocka, wimbo huo umetengenezwa katika studio ya Tongwe REC chini ya mtu mzima J Ryder.

No comments: