22.11.13

Saturday, July 31, 2010

TUNAHITAJI WASHKAJI PAMOJA NA MABINTI KWENYE VIDEO MPYA YA JOSE MTAMBO "NOTHING"

Jumamosi ijayo mtu mzima Jose Mtambo kutoka kigambonino atakuwa anashoot video yake ya wimbo wa Nothing. Nikiongea na Producer J Ryder aliniambia kuwa mtu mzima atafanya video hiyo na kampuni ya Visual Lab Next Level chini ya mtu mzima Adam Juma.

J Ryder alikuwa anawaomba ma model wakali pamoja na washkaji kibao kuwepo kwenye video hiyo ambayo itafanyika kule pande za KIGAMBONI kwenye baadhi ya beach ambazo zitakuwa na mazingira safi na upepo mzuriiiiiiiiiiiiii..

No comments: