22.11.13

Thursday, July 15, 2010

NEW VIDEO KUTOKA KWA KIDUMU & LADY JAYDEE.


3 comments:

Hisham said...

jamaa yupo makini

Anonymous said...

Very nice video and transition is good color crrection perfect in general the video edited pretty good big-up for Director.
Mdau USA

Rane said...

Mimi hapo sioni kama kuna mwenye nyimbo au mtu wa kulalamika,Maana hiyo nyimbo kwa ninavyoona mie ni ya Kassav Group from Carribean.Kwahiyo kwangu mimi hao wote ni wezi wa idea za watu wengine tu ,Tatizo maproducer wa East Africa hwapendi kuumiza vichwa, mimi nafanya music for fun in USA lakini watu waliiba some of my beats na kutumia, inabidi haki miliki bongo ifanye kazi pia