22.11.13

Saturday, July 17, 2010

ONE INCREDIBLE.

Watu wengi walikuwa wananiuliza yule mshkaji anayeitwa One ameimba wimbo wa Incredible mbona hatumjui, jana bahati nzuri nilikutana nae maeneo ya Mzalendo Pub na tukapiga story nyingi tu kuhusiana na projct zake.
Sasa jamaa mwenyewe ndio huyo hapo kwenye picha, ni msanii wa bongo anayeimba Hip Hop iliyokwenda xcul na anafanya vizuri kwa kweli.

PIA KUNA NYIMBO 5 MPYA ZIMEINGIA KWA BLOG MNAWEZA INGIA HAPO PEMBENI MKAZISIKILIZA

No comments: