Hii ndio nembo inayotumika kwa mwaka huu
Kama lisaa limepita toka imeanza hii show.
MC wa shughuli hii ingawa jina lake limenitoka kidogo.
Sean Paul ndio aliyefungua show hii ya Big Brother
Mwisho Mwampamba ndio mshiriki wa kwanza kuingia kutoka Tanzania..nilifurahi sana kumuona Mwisho kwa mara nyingine tena
Mwisho akiwa na mshiri mwingine Janet kutoka Mozambique
3 comments:
Kaka Choka, kweli Mungu akisema ndio ni ndio tu sikuzote. Mwisho simjui wala yeye hanijui ila nimefurahi sana kwa yeye kushiriki tena BBA, namuombea sana kwa Mungu aweze kushinda,yale yote yalikuwa ni mapito ya dunia,.. wote tunakosea ila kwa makosa tofauti na huwa tunajifunza kutokana na makosa..... mmh ila mchizi alitaabika
God Bless Mwisho.....
NIMEFURAHI KUMUONA MWISHO MJENGONI,IMANI YANGU KWAKE NI KUBWA MNOOOOOOO
Mwisho ananipa matumaini makubwa ya kutwaa taji tena na urudisha jina letu katika swala zima la kuitangaza Tanzania. big up Mwisho. kila la heri kaka.
Post a Comment