22.11.13

Wednesday, July 14, 2010

WASANII NA WADAU WA MZIKI WAKUTANA NA JAKAYA KIKWETE.

Hapa ni Rais wa nchi pamoja na Rais wa Manzese

Jakaya na Stiko kutoka TMK Wanaume Family

Jakaya na Amini kutoka THT

Jakaya na Gnako

Jakaya na Michael Mlingwa aka MX kutoka Babkubwa

Jakaya na Lina kutoka THT

Jakaya na Babu Talle, Tip Top Manager

Jakaya na Mwana FA

Jakaya na Fid Q

Jakaya na Chege Chigunda

Jakaya na Kwembe kutoka Tip Top

Jakaya na kijana kutoka THT

2 comments:

Anonymous said...

jamani hebu wasanii jaribuni kuwa serious kidogo,utaendaje kukutana na mheshimiwa alafu umetupia mavazi ya ajabuajabu a.k.a umevaa kuhuni?hata kama ni usanii but you have to know the limit,mkiambiwa bongo flaver ni muziki wa kihuni mnachukia,badilikena!

Anonymous said...

SASA UNAPOSE NA RAIS FOR PICHA NA TOOTH STICK MDOMONI NDIO NINI WASANII WETU ACHENI USHAMBA NA UJINGA HUUOOOOOOOOOOOOO

BAD MANNERS