22.11.13

Thursday, July 22, 2010

WASANII NIUNGENI MKONO "JUMA CHIKOKA"

Msanii wa Filamu aliyejitosa kwenye ulingo wa sanaa Juma Chikoka amechukua rasmi fomu ya kugombania ubunge katika jimbo la Ilala kwa tiketi ya chama cha mapinduzi(CCM).
Juma Chikoka alichukua fomu hizo katika ofisi za CCM Ilala huku akifuatana na baadhi ya wasanii wa filam na bongo flava ishara ya kumuunga mkono msanii mwenzao.
Akihojiwa na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari maelezo Juma amesema anataka kuja kutoa ajira kwa vijana wa Ilala kwani ndio jimbo linaloongoza kuwa na rasilimali nyingi lakini vijana wengi wanashinda mitaani


Wasanii wakipiga picha ya pamoja katika ukumbi wa Habari Maelezo

No comments: