22.11.13

Thursday, July 22, 2010

CHIDI BEENZ ATAKA KUTOA ZAWADI ILA AJAPATA JIBU ATOEJE.

Rashidi Abdallah Makwiro aka Chidi Beenz anauliza hiviiiii:
"NATAFUTA NJIA RAHISI YA KUTOA ZAWADI YA MIX TAPE YANGU MPYAA KAMA PROMO KWA FANNNZZ,N ALBAM IKO TAYARI VIDEOZ ZA KUTOSHA NA MENGINEYO,,
LAFAMILIA."

3 comments:

Anonymous said...

easy tu mwambie a`load online tu kupitia website kibao zakushare free mfano http://zshare.net,rapdshare,,,usershare.net etc nimejaribu kukumbuka hizo chache ni very easy anacreate profile na kuload kila anachotaka album nzima,audio,video,movie etc....Joe

Unknown said...

oya hamna njia rahisi ka kuappload kwenye facebuku au kwenye zshare.net kaka aliyosema hii ndo njia rahiisi watapata watu woteee yaani..

Anonymous said...

Kuongezea yaliyosemwa tayari kuhusu ku-upload, wajulishe watu wazima kama djchoka, babkubwa, michuzi, jide n.k. kwamba unadondosha kitu lini, na wapatie link ya download siku husika ikifika ili wengi wapate kuisikia. - MchizY