22.11.13

Thursday, July 01, 2010

YALIYOJIRI JANA JUMATANO "BIHARAMULO"

MJ Rec Tour ilipomalizana na Chato ikaingia Biharamulo na kama unavyojionea hapo Mh. Temba akiwa kwenye gari la matangazo huku watoto wakilikimbilia gari hilo. Hapa tulipiga show safi sana katika ukumbi mmoja wa jeshi.

Daaah kusema kweli kipindi hiki huku mikoani ni vumbi kwa kwenda mbele na baridi yakutosha, kama unavyojionea mwenyewe migomba ilivyopigwa vumbi halafu kuna mzee anaendesha baiskeli nyuma kaweka watoto wake wawili yaani freeesh tuuu

Hili ni soko kuu la Biharamulo,

3 comments:

Ima (The Designer) said...

Kaka ilo vumbi jekundu km la moro yaani huwezi kutupia vitu vyeupe, Big up kaka pa 1 sn.

Anonymous said...

umenikumbusha mbali sana DJ Choka,hapo nilipita miaka mingi sana nendeni mpaka bukoba ili mtuonyeshe na picha zaidi

Unknown said...

Ndo home sa 2tafanyaje mwana