22.11.13

Saturday, August 07, 2010

BEHIND THE SCENES OF CHEGE & TEMBA.


3 comments:

Anonymous said...

hahahaha,, ebanaee mi nilikuwa namuangalia Dunga mwanzo mwisho.. huyu mchizi namkubali kinoma alafu anaonekana ana mipango mwanzo mwisho, siku zote anajifanya bwege ila subir akianza sijui kama kuna msanii atakae mgusa... mimi nasubir tuu nione watu watakavyoshangaa katokea wap

Anonymous said...

KAKA CHOKA MIMI SIJAWAHI KUONA VIDEO IKISHUTIWA NA DIGITAL CAMERA....DU AU NDIYO NEXTLEVER HIYO MAANA HATA KAMA SI MTAALAMU VIDEO NAJUA HUSHUTIWA NA VIDEO CAMCORDE TENA 3 CCD ZILE KUBWA SI CAMERA YA PICHA HATA KAMA INACHUKUA VIDEO PIA HEBU ACHENI KUTUTIA AIBU NYIE MA DIRECTOR MCHWALA.
JK DUBLIN

Anonymous said...

yah ma hiyo aliyoshika adam ni camera tena cannon kama sikosei ni ya kawaida sana na wala si pro kwa video, inamaana jamaa huwa anatufix na camcoder mchwala...du ebwana wabongo mnamacho. hahahahaa!!!!! sasa hizo bei anazowapiga machizi mbona ni kali au nao hawajaenda shule ndiyo maana?