22.11.13

Saturday, August 07, 2010

JANA TULIVUNJA JUNGU BAGAMOYO.

Jana usiku tulikuwa pande za BAGAMOYO Chuoni na huyo unayemuona hapo juu ni msanii KG Son kutoka TMK Wanaume Halisi alikuwa wa kwanza kufungua show kabla ya watu wazima FA na AY hawajapanda kwa steji.

Show ilikuwa safii maana jana ndio ilikuwa show ya mwisho kwa wakazi wa Bagamoyo kabla ya kuingia mwezi mtukufu wa Ramadhani.

No comments: