22.11.13

Friday, August 06, 2010

TWENDENI TUKAMPE SHAVU DADA YETU LEO

Leo Tar 6 Agust ni Show Kubwa ya Miaka 10 Ya Lady JayDee....
Chagueni Nyimbo Mnazopenda kuzisikia na Atajaribu kugusa kuanzia, Machozi, Binti, Moto, Shukrani na Album ya Combination ya Machozi Band

No comments: