22.11.13

Sunday, August 01, 2010

THE MAKING OF WE BACK "RACKAZ"

Quick Rocka ndiye aliyekuwa wa kwanza kufungua dimba kwa kurecord vipande vyake vya verse ya 1, sehemu iko maeneo ya Mbezi Beach so tulikuwa katika nyumba ambayo haijamaliziwa kujenga.

Mtu mzima Dau Racka akafuatia kwa kuingiza vipande vyake na mambo yakawa freshiiiii kabisa.

No comments: