22.11.13

Sunday, August 01, 2010

WEEKEND YANGU YA JANA JUMAMOSI.

Baada ya kutoka kwenye video kama majira ya saa 6 usiku, moja kwa moja mtu mzima nikajichanganya Sanaa PUB kwenye Party ya Miller, so hapa nilikutana na model Luck

Model mwingine niliyebahatika kukutana nae ni Tetemaria

Baada yakutoka Sanaa PUB wakati narudi nyumbani Sinza mtu mzima ikabidi niingie Mzalendo PUB Kijitonyama niona yaliojiri katika Fleva Night na hapa nilikutana na washkaji zangu kutoka EATV & Radio na kufurahi sanaa na hatimaye majira haya ya saa 12 asubuhi ndio naingia kitandani.

No comments: