22.11.13

Wednesday, August 04, 2010

Mzungu Kichaa - New Judge for TV talent show BONGO STAR SEARCH

Majaji wa mwaka huu kwenye show ya BONGO STAR SEARCH ndio hawa hapa, kutoka kushoto ni Mzungu Kichaa, Madame Ritha na Producer Master jay

2 comments:

Anonymous said...

Huyo dada hapo juu aitwae Grace Matata ni moto mara 10. Na kama hayo mashairi ya wimbo wake wa Free Soul kaandika mwenyewe ndio kabisa moto mara mia. Namwangalia mikono yake anavyoshika gitaa naona kama anashika vyema maana naona V, M na K zinashikwa kwa ustadi kabisa na naamini na hilo gitaa analiweza. Ukichanganya na hiyo sauti ya kukata na shoka natamka rasmi kwamba Tanzania imepata mwanamuziki KAMILI. Wakwanza alikuwepo yule dada aliyekuwa TOT aitwae Pauline Zongo ila nasema kwa wimbo huu, huyu Grace ni zaidi. Sauti ni 100%, mashairi 100%, message 100% non-verbal cues 100% na gitaa limepigwa ki-Spanish ilo. Mpaka hapo namtangaza tena, MWANAMUZIKI WA KWANZA TANZANIA, wengine wanaganga njaa na kuuza sura. Wewe dada fanya upate label kama Sony utafika mbali. Tutafute sie tutakupa njia maana hapo nimeona real talent.

Anonymous said...

afadhali wamemtoa yule demu mshamba mshamba