22.11.13

Wednesday, August 04, 2010

PATA KUWAJUA VIJANA WADOGO KUTOKA BONGO WOCKEEZ.

Hawa ni vijana wanaosoma High School na wanapenda sana kucheza breck dansa, namaanisha kuukunjakunja miili yao. Hupenda kucheza kwenye matamsha yanayoandaliwa na shule mbalimbali hapa jijini Dar es salaam.
Natumaini mtakuwa pamoja hivi hivi hadi hapo mmalizapo Form 6 na kuwa kundi kubwa la kucheza kama yalivyo makundi mengine hapa nchini.

No comments: