Nairobi pako poa sana..hali ya hewa nzuri na mida hii niko zangu town nikitafuta usafiri wa kwenda
NAKURU ambapo huko ndipo nitakapo jichimbia kwa mwezi 1....
Stand ya mabasi kama inavyoonekana wazeyaaaaaaa....kama vipi mungu jalia tutaonana wacha nikaweke matirio kichwani. Nawatakia waislamu mwote mfungo mwema.
ONE
3 comments:
Wish u all the best Dj Choka! mwenyenzi Mungu akutangulie katika masomo yako!ukipata nafasi uwe unatujulia hali wadau wako.
ebwanaaaaaaaaee kila la lakheri mzeeeyyyyaaaah ila songo mpya tunazitaka kama hii (niangalie na mimi) fanya juu chini utuwekee maana mwezi mmoja sio kidogo
uwe mwangalifu dogo...kuna WAKORA hukoooooo :) all da best
Post a Comment