22.11.13

Monday, August 30, 2010

PROF JAY ATEMBELEA KABURI LA BRUCE LEE & BRANDON LEE.

Hii seheme inaitwa Lake View Cemetery ni sehemu ambayo wachina na watu mbali mbali duniani huenda kusali sehemu hiyo kwa imani zao tofauti tofauti. Prof Jay alifanikiwa kufika hapo kwaajili yakupata kumbukumbu na kusali akiwa kama shabiki namba moja wa BRUCE LEE. Prof Jay amesema sehemu hii ni maarufu sana kwa hapa SEATTLE U.S.A.

Bruce Lee alikuwa amoea mke wa kimarekani wa hapa ndio maana akazikwa hapa pia yeye na mtoto wake Brandon Lee, kama unavyojionea mwenyewe makaburi haya yakiwa yamejipanga baba kushoto na mtoto kulia.
pia
Prof Jay ameniambia mji huu wa Seattle ndipo makao makuu ya Microsoft na Bill Gates anakaa hapa na pia ndipo zinapotengenezwa ndege zote za BOING... So ni makao makuu ya boing pia.

SASA NINA MIZIMU NA MIKOBA YOTE YA BLUCE LEE OLE WENU MNICHOKOZE hahahaa habari ndio hiyo na ameniambia ananiletea na mimi hiyo mikoba sasa OLE WENU NIIPATE HIYO MKOBA.