22.11.13

Sunday, August 08, 2010

YALIYOJIRI JANA KWENYE FIESTA PALE LEADERZ CLUB.

Mwanadada Lil Kim akiwa kwa stegi akikamua show ya nguvu ingawa mimi sikuiona ila niliadisiwa.

Lil Kim akiwa na Juma Nature kwenye jukwaa la Fiesta Dar

Wasanii wa Bongo Fleva walifanya vizuri sana, hapa ni Mwana FA akiwa ametupia vitu vyake

Babra Hassan akiwa na Kajala Backstage

Mwana FA, Imam Abbas, AY & Kimbunga

Vijana wa TIP TOP Connection walitupia suti kaliiii...daaah mlipendeza zana ndugu zangu

Picha hizi ni kwaniaba ya blog mbalimbali.

2 comments:

Anonymous said...

uyo Kajala mbona mcharuko heavy mwana,.icho kivazi...rrrrrrrrrrrrraaaaaaaa

La Princessa said...

everyone loved real good!! dont forget to pass by laprincessaworld.blogspot.com...xoxo