22.11.13

Friday, September 10, 2010

20 ZA TOWN ILIVYOZINDULIWA USIKU HUU.

Ma director wakiweka mambo sawa kabla ya show 20 za Town kuanza Live.

Show ilipigwa katika aina yake kwani ndani ya mjengo wa Clouds palipigwa location kama 3 hivi tofauti tofauti na ya kwanza ikiwa hii hapa kama washkaji wako stand hivi na shughuli zikiendelea.

Shadei kutoka Clouds TV & Dj Choka

Mwanadada mrembo Ai Pii kutoka Clouds TV & Dj Choka

Yangi Dii akiwa na Rommy Jons kutoka Clouds TV

Godzilla King wa Sala Sala akiwa na Antonio Nugaz kutoka Clouds TV/Radio

Tobby, Ombeni & braza nanilii kutoka THT.

Kuanzia kushoto ni Producer Tuddy, Dito, Linex & Arnold Kayanda

Godzilla, Ditto, Mwanadada Lina & Dj Choka

No comments: