22.11.13

Thursday, September 16, 2010

AMKA UJITETEE YA HARD MAD NDANI YA KICHUPA.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya HARD MAD jumapili hii anafanya video yake ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la AMKA UJITETEE chini ya production ya VISUAL LAB na mtayarishaji wake ni ADAM JUMA.
Hivyo basi mashabiki na wapenzi wa muziki wa HARD MAD mkae mkao wa kula kwa maana jamaaa ni msanii wa kweli katika mziki huu na amekaa kimya kwa muda mrefu akijipanga,tegemea kupata vitu vya uhakika toka kwake.
HARD MAD anawaambia FANS wake kwamba mtegemee mambo mazuri toka kwake katika ujio wake huu mpya, na muwe tayari kuisapoti video yangu pindi itapotoka hewani.

Habari hii kwa niaba ya http://allyshams.blogspot.com

No comments: