22.11.13

Thursday, September 16, 2010

UZINDUZI WA JARIDA LA MAN

Mtendaji Mkuu wa kampuni ya EuroCom ambayo inachapisha jarida la MAN, Dismas Massawe akizungumza na wandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa jarida hilo . Kushoto ni Mshauri mkuu, Brett Frances.

Mshauri Mkuu wa Jarida la MAN, Brett Frances (kushoto) Mtendaji Mkuu wa Jarida hilo, Dismas Massawe (katikati) akiwa na Mhariri Mkuu wa Jarida hilo, Taji Liundi wakiwa wameshikilia nakala za jarida hilo wakati wa uzinduzi uliofanyika leo alhamis kwenye hoteli ya New Africa, Dar es Salaam. MAN litakuwa likitoka kila baada ya miezi miwili.

No comments: