22.11.13

Tuesday, September 21, 2010

BONGO DOT HOME NEW SESSION.

Aloy Sazia Mapembe
kaka napendaa kuwatangazia wadau wa kipindi cha bongo dot home kinachorushwa kila Jumamosi pale 100.5 times fm kuwa Rasmi kitaaza tarehe 25 mwezi huu wa 9 na hapo ndipo info zotee kali toka bongo zinapatika mapinduzi yangu yataendelea kwa bongo flava.

ni bongo dot home sizon ya 2 nashukuru mungu nilifanya vemaa sana kipindi cha kwanza kutoa matatizoo ya wana muziki wa bongo kwa mtu mzima sugu ...mr 11 na dudu lakiani wamesililizwa na maisha yana endelea msamaha kwa wotee niliwakwaza my be ni radio au tv zao lakini na imani maisha yanaendelea nasukuru

1 comment:

Sarp said...

U GO BABY BROTHER....
CHARAA HAPA