22.11.13

Saturday, September 18, 2010

MAMA MZAZI WA MRISHO MPOTO AFARIKI DUNIA.

Mda huu nimepokea msg kutoka kwa Mrisho Mpoto inayosema Mama (MWANAISHA MRISHO) amefariki sasa hivi, nilipomuuliza maswali ilikuwaje maybe alikuwa anaumwa au la hakuweza kunijibu labda baadae kidogo akiwa kwenye hali nzuri nitawajulisha

5 comments:

Anonymous said...

Kaka habari ya kazi?Kaka hii habari ni ya msiba,kwanini umeweka picha inayoonyesha sura ya furaha???Sio vyema hivyo,ni bora utafute picha nyingine inayofaa kuwepo hapo au usiweke picha kabisa.Ni hayo tuu,kazi njema... na Mungu akutie nguvu ya kuweza kutufahamisha zaidi wadau wako ONLINE.

Anonymous said...

RIP MWANAISHA

Anonymous said...

Mungu ametoa na Mungu ametwaa, Mungu ailaze roo ya mama yetu mahali pema peponi.amen

Anonymous said...

daaah maskini kaka mpoto usijali haya yote ni maisha.tumuombee mama apumzike mahalipema,kwani MUNGU ALITOA NAE NDIO AMETWAA

Anonymous said...

mbona hiyo picha yaonyesha mpoto analia, sasa unasemaje ya kufurahisha, we anony huna hata machungu, pole sana mpoto